Chagua suluhisho linalofaa biashara yako

Smart ERP, Hotel & Lodge na mifumo maalumu—vyote ndani ya JENOVA.

JENOVA Smart ERP

Kwa usimamizi wa mauzo, stock, manunuzi, matumizi, wateja, watumiaji na ripoti za biashara.

JENOVA Hotel & Lodge

Kwa vyumba, wageni, booking, check-in, check-out, housekeeping, huduma za ziada, malipo na ripoti.

Mifumo Maalumu

Mifumo inayoundwa na kusanidiwa kulingana na mtiririko halisi wa biashara yako.

JENOVA ERP

Basic Pack

Kwa biashara ndogo zinazoanza.

TZS 25,000/ MO
kwa mwezi
  • Hadi Matawi 1
  • Hadi Watumiaji 3
  • Mfumo wa POS na Usimamizi wa Mauzo
  • Usimamizi wa Bidhaa na Stock
  • Ripoti za Msingi za Biashara
  • Msaada wa Kiufundi
  • Hakuna ada ya usajili
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
Chagua Basic Pack
JENOVA ERP

Enterprise Pack

Kwa biashara kubwa zenye shughuli na matawi mengi.

TZS 100,000/ MO
kwa mwezi
  • Hadi Matawi 5
  • Hadi Watumiaji 10
  • Huduma zote za Business Pack
  • Usimamizi wa Matawi kutoka Sehemu Moja
  • Ripoti za Pamoja za Matawi Yote
  • Usimamizi wa Fedha na Gharama za Matawi
  • Udhibiti wa Ruhusa za Watumiaji
  • Ripoti za Kina za Utendaji wa Biashara
  • Msaada wa Kiufundi wa Kipaumbele
  • Maboresho ya Mfumo Bila Malipo
  • Hakuna ada ya usajili
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
JENOVA HOTEL & LODGE

Lodge Ndogo

Kwa lodge na guest house zinazohitaji usimamizi wa kila siku.

TSh 50,000/ MWEZI
Ada ya kuanzisha mfumoTSh 300,000
  • Usimamizi wa vyumba na wageni
  • Booking, check-in na check-out
  • Malipo na ripoti za msingi
JENOVA HOTEL & LODGE

Hoteli ya Kawaida

Kwa hoteli zinazohitaji shughuli zilizounganishwa na ripoti.

TSh 100,000/ MWEZI
Ada ya kuanzisha mfumoTSh 500,000
  • Huduma zote za Lodge Ndogo
  • Housekeeping na huduma za ziada
  • Ripoti za shughuli za hoteli
JENOVA HOTEL & LODGE

Hoteli Yenye Matawi Mengi

Kwa hoteli zinazohitaji kusimamia matawi kutoka sehemu moja.

TSh 300,000+/ MWEZI
Ada ya kuanzisha mfumoTSh 2,000,000+
  • Huduma zote za Hoteli Kubwa
  • Usimamizi wa matawi kutoka sehemu moja
  • Ripoti za pamoja za matawi
ONLINE RESERVATION

Online Reservation Setup

Huduma ya ziada inayolipiwa tofauti na Hotel ERP.

Basic Online Reservation

TSh 300,000

Fomu ya kuhifadhi chumba na kupokea maombi.

Standard Online Reservation

TSh 500,000

Kuonyesha vyumba, bei na upatikanaji.

Advanced Online Reservation

TSh 800,000

Kuunganisha bookings na Hotel ERP; malipo ya mtandaoni kwa makubaliano.

Multi-Branch Online Reservation

TSh 1,200,000+

Booking kwa matawi mengi kutoka sehemu moja.

Mfano: Hoteli Kubwa + Advanced Online Reservation

Hotel ERP Setup: TSh 1,000,000 + Online Reservation Setup: TSh 800,000

Jumla ya setupTSh 1,800,000Ada ya Hotel ERP: TSh 200,000 kwa mwezi

Hosting, domain, SMS, payment gateway na gharama za miamala zinaweza kutozwa tofauti. Bei za mwisho na huduma zitathibitishwa kwenye quotation.

Mfumo Maalumu

Duka la Vinywaji

Mfumo wa stock na mauzo kwa chupa, kreti, carton na bidhaa zinazorejeshwa.

  • Ubadilishaji wa vipimo vya stock
  • Chupa na kreti zinazorejeshwa
  • Mauzo, madeni na ripoti
Bei huandaliwa kulingana na modules, branches na users wanaohitajika.
Mfumo Maalumu

Usimamizi wa Mbao

Kwa ununuzi, uchanaji, uzalishaji, stock, mauzo na gharama za mradi wa mbao.

  • Production tracking
  • Timber stock & sales
  • Project costs & reports
Bei huandaliwa kulingana na ukubwa na mtiririko wa operation.
Mfumo Maalumu

Mfumo wa Pharmacy

Kwa batch, expiry dates, stock, suppliers, mauzo na ufuatiliaji wa bidhaa.

  • Batch & expiry tracking
  • Low-stock alerts
  • Sales & purchase reports
Modules zitasanidiwa kulingana na mahitaji na taratibu za biashara.