Dashboard moja. Udhibiti kamili.Dhibiti biashara.
Dhibiti biashara.
Ongeza faida.
Jua kinachouzwa, kilichopo stock na faida unayopata—kwa wakati halisi, kutoka tawi lolote.
Hakuna installationInafanya kazi kwenye simuData salama
Mauzo mwezi huu+24.8%
Hali ya stockImesasishwa
JENOVA ERPDashboard ya BiasharaJA
Muhtasari wa leo
Habari, MIM AGROVET
Mwenendo wa Mauzo
Zana za biasharaKila unachohitaji
Kila unachohitaji
kukaa mbele.
Ondoa makaratasi na taarifa zilizotawanyika. JENOVA inakupa picha kamili ya biashara yako.
Mauzo na POS
Risiti, cashier, punguzo na malipo kwa wakati halisi.
Stock na Bidhaa
Barcode, expiry date, reorder level na stock alerts.
Wateja na Suppliers
Historia, madeni, manunuzi na mawasiliano sehemu moja.
Matawi Mengi
Fuatilia kila tawi bila kuchanganya taarifa za biashara.
Ripoti na Faida
Maamuzi bora kupitia ripoti sahihi na zinazoeleweka.
Data Salama
Roles, permissions na data tofauti kwa kila kampuni.
Biashara katika udhibiti wako
Maamuzi ya haraka. Taarifa sahihi.
Fungua dashboard yako na ujue kinachoendelea kwenye mauzo, stock na matawi bila kusubiri mwisho wa mwezi.
Anza kutumia JENOVAUko tayari?
Anza kusimamia biashara kwa njia bora zaidi.
Chagua kifurushi kinachoendana na biashara yako na uanze kujenga biashara yenye taarifa sahihi.